Wednesday, October 21, 2009

TEST

Rashidi Abdallah Makwiro (amezaliwa 1985) ni rapa wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania. Anafahamika sana kwa jina la kisanii kama Chid Benz. Yeye ndiye mwanzilishi na ndiye kiongozi wa kundi la wasanii wa Ilala almaarufu kama LAFamilia.[1] Benz anasifika sana kwa kupata ushirika mwingi kwa sasa kuliko msanii yeyote yule kwa Tanzania. Amewahi kushirikiana na Stara Thomas, Ray C., Lady Jay Dee, Tunda Man, Spark, Mwasiti, Mangwair, Maunda Zorro, na wengine wengi tu.

No comments:

Post a Comment